Waziri madini atembelea banda la GGML, ashuhudia mradi wa uwanja wa kisasa

Na ,wandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini Geita na kupata maelezo kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa. Waziri huyo pia alishuhudia mfano wa mradi wa uwanja wa kisasa wa michezo (Magogo Stadium) unaojengwa na GGML kwa lengo … Continue reading Waziri madini atembelea banda la GGML, ashuhudia mradi wa uwanja wa kisasa