Jafo: Kampuni za madini zingatieni utunzaji wa mazingira, jifunzeni kwa GGML

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ameziagiza kampuni zote nchini zinazojihusisha na uchimbajin wa madini kuzingatia taratibu na sheria zinazohusiana na mazingira ili kuisaidia Tanzania na dunia kukabiliana na janga la mabadiliko ya tabia nchi. Ameziagiza kampuni hizo kwenda kujifunza namna Kampuni ya Geita … Continue reading Jafo: Kampuni za madini zingatieni utunzaji wa mazingira, jifunzeni kwa GGML