Visua| Hii ndiyo Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Amani
Na Faraja Masinde, Gazetini NI Hifadhi iliyotawaliwa na ukimya mkubwa. Kelele zake utazisikia kupitia ndege tu wanaoruka kutoka tawi moja kwenda jingine wakijitafutia chakula chao cha kila siku. Ndege hawa ni kama vile kolokolo domo refu ambao kwa mujibu wa watalaam kutoka ndani ya hifadhi hii ya pili kuanzishwa duniani, wako hatarini kutoweka na hivyo … Continue reading Visua| Hii ndiyo Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Amani
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed