GGML yatoa milioni 150 kudhamini Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini Geita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kuendelea kudumisha dhamira ya ubunifu wa kiteknolojia, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 150 kudhamini Maonyesho ya Sita ya Teknolojia ya Madini yanayofayika mkoani Geita. Maonyesho hayo ambayo hufanyika kila mwaka, mwaka huu yanatarajiwa kuzinduliwa Septemba 23 na kuhitimishwa Septemba 30. Maonyesho hayo yanafanyika kwa … Continue reading GGML yatoa milioni 150 kudhamini Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini Geita