Tunachofahamu kuhusu Usambara Eagle Owl

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kulingana na machapisho mbalimbali, Bundi ni miongoni mwa ndege ambae huishi kutegemea nyama kama chakula chake kikuu. Bundi hutafuta mawindo yake nyakati za usiku na mara nyingi huutumia mchana kwa mapumziko. Katika uainishaji wa kisayansi, bundi huainiswa kama himaya  ya wanyama ya wanyama wenye uti wa mgongo, ngeli ya ndege na … Continue reading Tunachofahamu kuhusu Usambara Eagle Owl