Makala| Vipepeo; kitega uchumi kinachokumbukwa Muheza

*Serikali yasisitiza wananchi kuwa na subira Na Faraja Masinde, Muheza “…tuliumia sana, tukawaachia tu wakaruka na kwenda zao. Tukasema hatuna cha kufanya… na wakati huo ndiyo vipepeo walikuwa wameongezeka kuliko wakati mwingine wowote ule,” Jestina Bakari. Ni majira ya saa 9 na dakika 6 ikiwa na sekunde zake 57 Alasiri ndani kitongoji cha Kagera, Kijiji … Continue reading Makala| Vipepeo; kitega uchumi kinachokumbukwa Muheza