‘Watoto 340 watelekezwa’ ndani ya miezi 12 Songwe

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe zinaonyesha kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2022-2023 wanawake 340 wenye watoto walitekezwa na wenza wao huku wengine 17 wakipigwa na wenza wao. Hii ni sawa na kusema kwamba watoto 340 wamelazimika kukosa malezi ya baba na … Continue reading ‘Watoto 340 watelekezwa’ ndani ya miezi 12 Songwe