Visual| Wasichana milioni 4.3 wako hatarini kukeketwa 2023

Na Jackline Jerome, Gazetini Ripoti ya pamoja ya Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi(UNFPA), Dk. Natalia Kanem na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kuhudumia Watoto(UNICEF), Catherine Russell kuhusu Siku ya Kimataifa ya Kutovumilia Ukeketaji iliyotolewa Februari 6, mwaka huu. Inabainisha kuwa mwaka 2023, wasichana milioni … Continue reading Visual| Wasichana milioni 4.3 wako hatarini kukeketwa 2023