Visual| Sababu za kuhitaji nishati safi ya kupikia

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu za Wizara ya Nishati nchini zinaonyesha kuwa watu 33,000 wanafariki dunia kila mwaka nchini kutokana na kupikia mazingira yenye moshi wenye sumu unaotokana na matumizi ya mkaa, kuni na mabaki ya mazao. Kama hiyo haitoshi, Shirika la Clean Cooking Alliance watu milioni 4 kote ulimwenguni hufa kabla ya wakati kila … Continue reading Visual| Sababu za kuhitaji nishati safi ya kupikia