Visual| Miaka 40 ya UKIMWI: Namna Afrika ilivyotikiswa

Na Faraja Masinde, Gazetini Ni zaidi ya miaka 40 sasa tangu kuripotiwa kwa kisa cha Virusi Vya UKIMWI, hata hivyo bado ugonjwa huo umeendelea kuwa janga la afya duniani, hususan barani Afrika. Kama inavyofahamika kwamba Afrika inabeba takribani 17.51% ya idadi ya watu duniani nyuma ya bara la Asia lenye 59.35%. Hata hivyo, Afrika ndio … Continue reading Visual| Miaka 40 ya UKIMWI: Namna Afrika ilivyotikiswa