Visual| Watoto wanavyokosa haki ya kunyonyeshwa

Kama inavyofahamika kwamba Unyonyeshaji una faida kubwa kwa mama na mtoto ikiwemo uimarishaji wa afya ya akili katika maendeleo ya mtoto, kuwalinda watoto dhidi ya magonjwa, kupunguza hatari za utipwatipwa, kupunguza gharama za huduma kwa mtoto na pia kuwalinda kina mama wanaonyonyesha dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na ya matiti. Hata hivyo jambo … Continue reading Visual| Watoto wanavyokosa haki ya kunyonyeshwa