Makala: Wazazi, wadau wataka fursa nyingine waliokatizwa masomo kwa mimba

CHANGAMOTO za maisha ikiwamo ukosefu wa mahitaji muhimu kwa wasichana walioko shule ni moja ya vichochezi vinavyosababisha wengi kuishia kupata ujauzito hali inayokosesha fursa ya kuendelea na masomo. Hali hiyo imefanya ndoto za baadhi ya wasichana ngazi ya elimu msingi na sekondari kuishia njiani kwani hujikuta wakifukuzwa shule kutokana na kupata mimba. Ingawa katika miaka … Continue reading Makala: Wazazi, wadau wataka fursa nyingine waliokatizwa masomo kwa mimba