Visualization| Serikali inavyovuna fedha kwenye michezo ya kubahatisha

UKWELI usio na shaka ni kwamba sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini imeonekana kupiga hatua kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huo kama ilivyoonekana mwaka 2018/19 haukuwa wa bahati mbaya, bali ulitokana na mikakati ya Serikali na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Kile kinachoakisi jitihada za Serikali, sekta hiyo imeandaliwa mazingira rafiki, … Continue reading Visualization| Serikali inavyovuna fedha kwenye michezo ya kubahatisha