Visual| Uchumi wa Buluu; Maajabu ya bahari kiuchumi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TAFITI zimebaini kuwa asilimia 71 ya uso wa dunia ni maji na asilimia 97 ya maji hayo ni bahari. Ikimaanisha, eneo la nchi kavu ni asilimia 29 tu ya uso wa dunia. Hiyo inamaanisha nini? Kama bahari itatumika ipasavyo, basi kuna uwezekano wa uchumi wa dunia kutotegemea kwa kiasi kikubwa rasilimali … Continue reading Visual| Uchumi wa Buluu; Maajabu ya bahari kiuchumi