Infographic| Tunayofahamu kuhusu Bandari ya Dar es Salaam
NA MWANDISHI WETU Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), imesema maboresho makubwa wanayoendelea kufanyika yataiwezesha kuongoza kwa kuwa bandari kubwa inayopokea magari mengi Afrika Mashariki hadi Kusini mwa Afrika. Data zilizokusanywa na Gazetini kutoka kwenye mamlaka hiyo hivi karibuni zinaeleza kuwa mwaka 2016/2017 bandari hiyo ilikuwa ikipokea magari 47,000 na sasa ina uwezo wa kupokea na … Continue reading Infographic| Tunayofahamu kuhusu Bandari ya Dar es Salaam
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed