Mitindo ya nywele kwa wanawake wenye vipara usoni
Na Brighita Masaki, Gazetini Nywele zilizonakishiwa ni moja wapo ya alama inayotambulisha urembo wa Mwanamke husika. Kuna namna nyingi za kunakshi nywele zako, wapo wanaosuka mitindo tofauti au wanaopunguza kisha kuziongezea mvuto kwa njia tofauti. Lakini wako pia ambao huzisuka bila kuweka dawa na kuzibana kwa mitindo tofauti. Hata hivyo, kwa wanaopendelea kusuka, baadhi ya … Continue reading Mitindo ya nywele kwa wanawake wenye vipara usoni
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed